News

Maonyesho ya utalii Berlin


Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayoshiriki katika makala ya 44 ya maonyesho makubwa zaidi ya utalii duniani jijini berlin ujerumani. Kenya inawakilishwa na makampuni 20 katika maonyesho hayo yanayoandaliwa kila mwaka. Halmashauri ya utalii nchini ktb inaongoza ujumbe wa kenya katika maonyesho. Richard chacha yuko jijini humo na ametuma taarifa ifuatayo.

Today's Highlights
Today's Schedule
May 21, 2012

1200 PM Live
1300 NTV at 1
1400 Until Forever
1530 Cartoon Network
1600 NTV at 4
1700 The Beat
1800 Mara Clara
1900 NTV Jioni
1930 Beautiful But Unlucky
2030 Demigods
2100 NTV Tonight
2150 The Hostel

2230 Little Star